×

Chapride Yazinduliwa Rasmi Valentine’s Day, Yatoa Ofa ya Usafiri Kwa Wapendanao

 

Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria Mtandaoni ya Chapride, leo imezinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam, zoezi ambalo limekwenda sambamba na utoaji wa mikopo kwa madereva waliojisajili kutoka Kampuni ya Wezesha Mzawa.

 

 

Chapride imezinduliwa na ofa bab kubwa juu yake, hasa ikizingatiwa kwamba leo ni Siku ya Wapendanao, Valentines Day ambapo imetoa fursa ya wapendanao kusafiri bure ndani ya Jiji la Dar es Salaam.

Ili kunufaika na ofa hii, download application ya CHAPRIDE kwenye simu yako ya mkononi sasa, nenda Playstore kwa simu za Android na Appstore kwa IOS, search Application ya CHAPRIDE kisha kaa ukisubiri kusafirishwa BURE wewe na umpendaye!

 

Pia kama wewe ni dereva, search CHAPRIDE DRIVER na uidownload kwenye simu yako kufurahia ofa mbalimbali.

ANDROID:
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.chap.user

IOS:
https://apps.apple.com/gb/app/chapride/id6443669231

Simu:+255620817304
@chapridetz
#chapride
#chapridetanzania

Leave a Comment