×

Bosi wa Manchester United Erik ten Hag Amchomoa Kikosini Antony

Antony Matheus

BOSI wa Manchester United, Erik ten Hag, ameamua kufanya uamuzi mgumu kwa kuhakikisha Antony anarudi katika ubora wake.

Antony kwa sasa ameondolewa ndani ya Man United na kupelekwa milimani kwa ajili ya kujifua na kuandaliwa upya.

Nyota huyo ametua Man United msimu huu akitokea Ajax, lakini kiwango chake kwa siku za karibuni kimeonekana kuyumba.

Winga huyo Mbrazil ameenda kufuliwa kuhakikisha anakuwa bora kama ilivyokuwa kwa Jadon Sancho ambaye aliondolewa kikosini kabla ya kurudishwa.

Antony alikopelekwa kwa ajili ya kutengenezwa upya, anasimamia na kocha aliyekuwa anamsimamia Sancho.

JAMES SAMWEL ACHAMBUA KIKOSI cha YANGA, AKUTANA na MUDATHIR LAIVU CHEKI ALICHOMWAMBIA…

Leave a Comment