Chapride Gumzo Kila Kona -“Hii Imekuja Kuwa Mkombozi Wetu” Madereva – (Picha +Video)
Global Publishers February 26, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Mmoja wa Maofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao akimwelezea mmoja wa wateja wanaotumia usafiri katika safari zake.Ofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao akimkabidhi fulana ya Chapride mtoa huduma ya usafirishaji eneo la Tegeta Kibo baada ya kujiunga na kampuni hiyo ili aweze kuanza kutoa huduma.
Ofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao akimpa elimu mtoa huduma za usafirishaji.Ofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao akimpatia kipeperushi kinachoonesha huduma zote zinazotolewa na kampuni hiyo.Ofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao(kulia) akiwaelezea watoa huduma za usafirishaji namna ya kampuni hiyo ilivyojidhatiti kuwapa kilicho bora zaidi.Hapa na vijana wa bodaboda wakisoma kwa makini vipeperushi vya kujua namna Kampuni ya Chapride inavyotoa huduma zake.
Ofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao akimfafanulia jambo kuhusiana na huduma zao.Ofisa Masoko kutoka kampuni ya Chapride (kushoto), kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao akiwaelekeza akina dada juu ya namna ya Kujiunga kupitia simu zao za mkononi ambapo una, download app ya Chapride kupitia Playstore au Appstore: ANDROID:
Jana Jumamosi Februari 25,2023, timu ya masoko ya Chapride, kampuni mpya ya usafiri mtandaoni inayotoa ofa kibao, imeendelea kutoa elimu kwa madereva bodaboda, Bajaj na teksi kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Timu hiyo imefika kwenye maeneo ya Tegeta, Tegeta Kibo na Tegeta Nyuki kutoa elimu kuhusu ofa zinazotolewa na Chapride, ikiwemo usafiri bure kila wikiendi, madereva kulipwa bila kukatwa kamisheni pamoja na madereva kupata fursa ya kukopa kupitia Kampuni ya Wezesha Mzawa.
Kujiunga, download app ya Chapride kupitia Playstore au Appstore: