Chapride imesambaa kila kona jijini Dar es Salaam na wikiendi hii, ofa ya usafiri BURE inaendelea kama kawaida.
Kama wewe ni dereva bodaboda, Bajaj au teksi wa Dar, changamkia Chapride kwani HUKATWI kamisheni, unalipwa pesa zako zote CHAP ukishamaliza safari yako!
💥Si hivyo tu, ukijiunga na Chapride Tanzania @ @chapridetz kampuni ya usafirishaji abiria na huduma nyingine kwa njia ya mtandao, utapata fursa ya KUPATA MKOPO WA SIMU, GARI, AU PESA KUANZIA Shs. 100,000 hadi 50,000,000/=
https://globalpublishers.co.tz/bonge-la-ofa-safiri-bure-na-chapride-kila-wikiendi-jumamosi-na-jumapili-ndani-dar/