MTANGAZAJI maarufu kupitia Runinga na Online TV, Ezden Jumanne, amefungukia ndoa na aliyekuwa mke wake, Khadija Shaibu ‘Dida’ kuwa imemfunza mengi.
Amezungumza na Global TV Online lkatika mahojiano na Kipindi cha Mapito Exclusive.