
Maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama kitaifa yanafanyika jijini Mwanza leo March 14 mwaka, Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) na kuelekea katika maadhimisho hayo ambayo yanafanyika kwenye viwanja vya Furahisha vilivyopo jijini hapa yalianza maandamano ya watembea kwa miguu pamoja na vyombo vya moto, GlobalPublishers inakuletea picha namna hali ilivyo hivi sasa.









