×

Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan Imran Khan Akamatwa Nje ya Mahakama

Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan amekamatwa na maafisa wa kijeshi nje ya mahakama mjini Islamabad.

Khan alikuwa akifikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi, ambayo anasema yanachochewa kisiasa.

Ripoti zilisema kuwa Khan alizuiliwa na wanajeshi wenye silaha baada ya kuingia katika boma la mahakama.

Aliondolewa kama Waziri Mkuu mwezi Aprili mwaka jana na amekuwa akifanya kampeni za uchaguzi wa mapema tangu wakati huo.

”KWELI TUMEPIGWA FAINI SABABU ya VITOCHI, KUPIGA FATAKI na KUWASHA MOSHI” – ALI KAMWE…


 

Leave a Comment