×

Mbunge wa Mbarali Francis Mtega Aibua Madai Mazito Bungeni – Video


Mbunge wa Mbarali, Francis Mtega ameibua madai mazito bungeni, akiwatuhumu askari wa wanyamapori (TANAPA), kuwafanyia ukatili mkubwa wananchi, kwa madai ya kuingia hifadhini kinyume cha sheria.

Mbunge huyo akalitaka bunge lisimamishe shughuli zake kwa muda ili kuijadili hoja hiyo kwa dharura, ambapo baadaye Spika Ackson Tulia na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walilitolea ufafanuzi.

Leave a Comment