×

Mbunge Aliyeruka Sarakasi Bungeni Atishia Kuruka Tena Kwenye Bajeti Ya Wizara Ya Ujenzi Na Uchukuzi -Video

Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay atishia kuruka sarakasi ili suala la barabara ya lami kujengwa katika baadhi ya sehemu jimboni kwake kwani jambo hilo halijatendeka kwa muda sasa.

Ikumbukwe pia amewahi kuruka sarakasi mwaka jana 2022 ndani ya ukumbi wa Bunge alipokuwa akichangia mjadala wa kupitia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023 jijini Dodoma.

Leave a Comment