×

DRC: Naibu Waziri Ashutumiwa Kupewa Mimba na Bosi wake, Waziri wa Elimu Afunguka

Waziri wa Elimu ya Msingi ya Sekondari na Ufundi (EPST), Tony Mwaba Kazadi (kushoto) na kulia ni Naibu Waziri wake, Aminata Namasia.

Waziri wa Elimu ya Msingi ya Sekondari na Ufundi (EPST), Tony Mwaba Kazadi amedaiwa kumpa ujauzito Naibu Waziri wake, Aminata Namasia akidai ni ajali kazini.
Tony na Aminata wametajwa kuwa wapenzi kwa muda mrefu ambapo kufanya kazi pamoja kulichangia hisia kuongezeka baina yao licha ya ukweli kwamba wote wana Ndoa zao.
Raia wa DRC wametumia Mitandao ya Kijamii kumkashifu Waziri huyo na Naibu wake wakisema wameonesha tabia mbaya na uthibitisho wa ukosefu wa Maadili Nchini humo

Naibu Waziri wa Elimu ya Msingi ya Sekondari na Ufundi (EPST), Aminata Namasia

#EXCLUSIVE: MAMA ALIYEOMBA NAMBA ya WAZIRI MKUU AANGUA KILIO KUKIMBIWA na MUMEWE, NAMJUA KAJALA…


 

Leave a Comment