
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu wametembelea Kambi ya timu ya Yanga iliyowekwa nchini humo kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa marudiano fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger.
Mechi itapigwa kesho saa 4:00 usiku kwa saa za Tanzania na kuruka #LIVE #ZBC2
