×

Rais Samia Atembelea Na Kukagua Daraja La JP Magufuli Kigongo-Busisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili Kigongo, Wilayani Misungwi kwa ajili ya kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75, Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS ) Eng. Pascal Ambrose wakati akikagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75. Mhe. Rais Samia amekagua Daraja hilo ambalo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mmoja wa Wataalamu wa Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) Eng. Abdulkarim Majuto wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wake Mkoani Mwanza Februari, 2024.
Viongozi mbalimbali wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alipokuwa akiwasalimia Wananchi wa Sengerema na Buchosa Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza tarehe 14 Juni, 2023.
Taswira ya daraja la JP Magufuli..
Taswira ya daraja la JP Magufuli..
Wananchi wa Sengerema na Buchosa wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwasili Sengerema mkoani Mwanza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km 3) ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 75. Mhe. Rais Samia amekagua Daraja hilo ambalo Ujenzi wake unatarajiwa kukamilika Februari, 2024.

Leave a Comment