×

Geita Gold Yathibitisha Kuachana na Kocha Fred Felix Yesaya Minziro

Fred Felix Yesaya Minziro.

Klabu ya Geita Gold imethibitisha kuachana na Kocha mkuu Fred Felix Yesaya Minziro baada ya mkataba wake klabuni hapo kufikia ukomo.

Minziro ataungana na benchi lake la Ufundi kwenye mlango wa kutokea klabuni hapo kwa kuwa hawatakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo msimu ujao.

 

WANAFUNZI wa UDAKTARI wa SUDAN WALIOHAMIA MUHIMBILI WAMGUSA MBUNGE – “WANAKUJA KUSAIDIA NCHI”…

Leave a Comment