×

Yanga Yatangaza Kuachana na Winga Bernard Morrison

Klabu ya Yanga imetangaza kuachana na winga Bernard Morrison ikiwa ni msimu mmoja tu baada ya kurejea klabuni hapo msimu uliopita kutoka Simba SC.

Morrison ambaye ni Mtanzania mtarajiwa (baada ya kuwasilisha ombi la kupewa uraia wa Tanzania) hatokuwa sehemu ya kikosi cha Yanga SC kwa msimu ujao wa 2023/2024.

BERNARD MORRISON NAYE AAGWA YANGA – “THANK YOU BERNARD MORRISON” AUNGANA na KOCHA NABI na AMBUNDO…

Leave a Comment