×

Live: Maadhimisho Ya Kitaifa Ya Siku Ya Kupiga Vita Dawa Za Kulevya Duniani- Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani yanayofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Leo tarehe 25 Juni, 2023.

Leave a Comment