Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Katika Swala ya Eid El Adh’haa Kitaifa Dar – Video
Global Publishers June 29, 2023 4,574 views 0 Comments
SHARE THIS:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika Swala ya Eid El Adh’haa ambayo imefanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita, uliopo Kinondoni akimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Leo 29, June 2023, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid El Adh’haa ambayo imefanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita, ulioko Kinondoni