×

Ally Kamwe Afunguka Usajili Yanga, Uzinduzi Wa Jezi, Namba 6 Mpya – Video

Kuelekea uzinduzi wa jezi za Klabu ya Yanga, afisa habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe ametoa ufafanuzi wa namna viongozi wa matawi wanavyoweza kuzipata jezi hizo kwa urahisi ili waziuze kwa wanachama wao nchi nzima.

Kamwe amesema wameandaa utaratibu wa wanachama wote waYanga kupata jezi ‘original’ kutoka kwa viongozi wa matawi kwa bei elekezi na kwa wakati, huku akieleza kuwa jezi hizo zitauzwa kwa Sh. 32,000 kwa bei ya jumla na Sh 40,000 kwa bei ya rejareja.

Leave a Comment