Mchekeshaji na mwigizaji mahiri Bongo, Mboto anasema tangu alipoanza kuigiza kwenye tamthilia ya Huba, amebadilika vitu vingi kuanzia kwenye sanaa mpaka kwenye maisha binafsi.