×

Mama Aangua Kilio Kizito Kisa Mwanawe… “Mateso Yangu Ni Mazito” – Video

Anna Stephano (38)Mkazi wa Arusha ambaye anapitia magumu sana baada ya mtoto wake Angela Stephano (12) kuzaliwa na tatizo la utindio wa Ubongo hali inayopelekea kuumwa mara kwa mara na kupoteza fahamu

Akisimulia kwa Uchungu mama huyo anasema kwa sasa hana msaada wowote baada ya baba wa mtoto huyo kufariki kwa Ajali akiwa kazini hali iliyopelekea kukosa msaada kutoka kwa watu wake wa karibu

Anna amewaangukia wasamaria wema kumsaidia kupata bajaji ambayo itamuwezesha kujikimu kimaisha

Namba ya Anna 0759015023
Namba ukiwa na shida 0714 207395

Presenter @ana_mbawala
Cameraman @jumakakunda
@globaltvonline

Leave a Comment