Premier Bet wanayo furaha kumtambulisha Bwana Jacob Mkungilwa, kwa mara nyingine tena baada ya kujishindia Milioni 118 katika mchezo wa kusisimua wa kasino mtandaoni “Navigator”. Jacob amekuwa Kijana mwenye bahati zaidi nchini Tanzania. Tarehe 25/6/2023 alishinda Milioni 112 katika mchezo wa kusisimua wa kasino mtandaoni “Navigator”. Tunafurahi kuona kwamba ameshinda tena, hivyo kwa ujumla katika kipindi cha chini ya siku 30 ameshinda Milioni 230.

Meneja Rasilimali Watu wa Premier Bet Tanzania, Amanda Kusila (kushoto), katikati ni Jacob Mkungilwa (Mshindi) akiwa na Sami Matar, Operations Manager wa Premier Bet Tanzania.
Bwana Sami Matar, ambaye ni Operations Manager wa Premier Bet nchini Tanzania alisema ”tunapenda kusisitiza ubashiri wa kistaarabu na tunajitahidi kutoa jukwaa bora la michezo ya kubahatisha mtandaoni ambalo litampatia mchezaji furaha na burudani, huku tukiwahakikishia mazingira salama”. Alisema “Kubashiri ni kwa watu walio na umri wa miaka 18 na zaidi pekee pia tunasimamia sera ya Kubashiri Kistaarabu, tunataka wateja wetu kufurahia michezo yetu, na hivyo tunashauri wachezaji wasicheze zaidi ya uwezo wao kifedha. Zaidi ya hayo, nafurahi binafsi kupata fursa ya kumshauri Jacob jinsi ya kuwekeza ushindi wake mpya katika kilimo na ujenzi wa nyumba nzuri kwa familia yake. Tunatumai atatumia ushindi wake kwa busara, Milioni 230 bila shaka ni kiasi cha kubadili maisha”.

Jacob Mkungilwa (katikati), akitabasamu baada ya kukabidhiwa Milioni 118 alizoshinda.
Bwana Jacob Mkungilwa (Mshindi), alisema “Nina shukuru sana kwa fursa hii na bahati kubwa niliyoipata. Premier Bet imenipa namna ya kipekee ya kufurahia mchezo wangu pendwa, Navigator, na sikufikiria kamwe kwamba ningeshinda si mara moja tu, bali mara mbili ndani ya mwezi. Ni ndoto ambayo imetimia. Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Kampuni ya Premier Bet kwa namna ya kipekee na ya kusisimua wanavyotoa michezo.
Mchezo wa Navigator wa Premier Casino, unaojulikana kwa kua mchezo wenye kuvutia na malipo zaidi, umewateka wachezaji nchini kote. Kukiwa na uchaguzi mkubwa wa michezo ya kuvutia na fursa za kushinda kiasi kikubwa cha pesa kinachobadilisha maisha, Premier Bet inaendelea kubadilisha mandhari ya michezo nchini Tanzania. Ili kujisajili na kucheza mchezo wa Navigator, tembelea tovuti ya www.premierbet.co.tz.
