Jaza Ushinde Tena Na Engen Yatikisa Mkoani Tanga Yamwaga Zawadi Korogwe
Global Publishers July 18, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Vivo Energy Tanzania, Grace Kijo (kushoto) akimkabidhi funguo ya Bodaboda mshindi wa promosheni ya Jaza Ushinde Tena na Engen kutoka Korogwe Tanga, Hatibu Kusaga aliyejishindia zawadi hiyo baada ya kushiriki kujaza mafuta kwenye vituo vya Engen na kuingia kwenye droo hiyo. Makabidhiano hayo yalifanyika Korogwe. Huu ni muendelezo wa promosheni hii itakayomalizikia mkoani Morogoro ambapo itatoa washindi wengine wiki hii, ili kushinda mteja anatakiwa kuweka mafuta kwenye vituo vya Engen na atakuwa ameingia kwenye droo hiyo. Mshindi wa friji, Said Mambongo akiwa na zawadi yake mara baada kukabidhiwa. Mshindi wa Runinga, Francis David akiwa na zawadi yake mara baada kukabidhiwa.