Vivo Energy Tanzania Yahitimisha Kampeni Ya Jaza Ushinde Tena Na Engen Mkoani Moro
Global Publishers July 23, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Vivo Energy Tanzania, Grace Kijo (kushoto) akiwa na mshindi wa Bodaboda wa promosheni ya Jaza Ushinde Tena na Engen kutoka Morogoro, Finias Boniface aliyejishindia zawadi hiyo baada ya kushiriki kujaza mafuta kwenye vituo vya Engen na kuingia kwenye droo hiyo. Makabidhiano hayo yalifanyika Morogoro. Huyu naye alikabidhiwa friji.