Bondia Mtanzania Twaha Kiduku amepokea kichapo dhidi ya Bondia, Asemahle Wellem kutoka Afrika Kusini kwa pointi za majaji katika pambano la raundi 12 lililopigwa Julai 29, 2023 katika ukumbi wa Malaika Beach Resort, Jijini Mwanza.