×

Alikiba Aachia Wimbo wa Simba (Mnyama), Kupiga Bonge la Shoo Kwa Mkapa

Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Simba, Imani Kajula (kulia) akimkabidhi jezi  Staa wa Bongo Fleva, Alikiba.

Rasmi Staa wa Muziki wa Tanzania na Afrika, AliKiba ‘King Kiba’amehamia Simba na Agosti 6, 2023 atakuwa mtumbuizaji mkuu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa akitamba na wimbo wa Mnyama (Simba SC Anthem)

“Nimepata mapokezi makubwa Simba, moyo unapenda unapo thaminika. Kiukweli nilikuwa nawaonea wivu sana Wanasimba. Asanteni kwa kunikaribisha.”- King Kiba.

Leave a Comment