Lile penzi lililozua mijadala kwenye mitandao ya kijamii kati ya kijana mwenye umri wa miaka 27 na bibi mwenye umri wa miaka 60, linadaiwa kukumbwa na jini mkatakamba.
Kupitia Kipindi cha #Mapito, kijana huyo amedai kwamba bibi hamtaki tena na hiyo ni baada ya kuvuja kwa video inayomuonesha kijana huyo akiwa na mwanamke mwingine wa rika lake.