×

Mke Wa Rafiki Yake Afia Getoni Kwake, Apewa Kesi Ya Mauaji Na Kusota Jela Miaka 9, Mwenyewe Asimulia – Video

Kijana aliyejitambulisha kwa jina la Tumaini Chilu amesimulia kisa cha yeye kumwachia rafiki yake chumba (geto) ili apumzike na mchumba wake lakini katika hali ya kutatanisha, baadaye akamkuta msichana huyo akiwa amefia ndani kwake huku rafiki yake akitoroka na kumuachia msala mzito.

Leave a Comment