Msemaji wa Yanga, Haji Manara ambaye anatumikia adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka miwili amefunguka kuhusu adhabu hiyo na masuala mengine yanayoendelea kwake.