
Ally A Karavina ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Karavina ni Mtaalamu wa Mipango na Sera za Uchumi wa Usafirishaji
Prof. Sifuni E. Mchome ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA). Mchome ni Mwanasheria, Mwandishi wa Vitabu na Mtafiti wa Masuala ya Sheria