×

Tanzania kinara wa kuzalisha Chakula Hasa Mahindi na Mchele Afrika

Wakati Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula ya Afrika (AGRF) utakaofanyika Septemba 5-8, 2023, jijini Dar es Salaam, takwimu za Serikali zinaonesha kuwa Tanzania huuza chakula kingi, hasa mahindi na mchele, kwa nchi kadhaa za Afrika na hivyo kutoa mchango mkubwa wa kuhakikisha kuwa bara hili linakuwa na usalama wa chakula.
Takwimu zifuatazo ni za uuzaji wa mahindi nje ya nchi:

Leave a Comment