
Mfanyabiashara ambaye pia ni maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jenifer Jovin ‘Niffer’ amefunguka kupitia mahojiano aliyoyafanya na @globaltvonline alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wake @imeldamtema alisema kuwa alishawahi kusimama katikati ya barabara, pale Sinza Mori, jijini Dar, ili agongwe afe.