×

#Exclusive: Mtoto Genius Anayewashinda Hadi Wanafunzi Wa Form 4, Huwezi Kuamini Bado Hajaanza Shule – Video


Mtoto Ibrahim Abdulrazak mwenye umri wa miaka 4 amekuwa gumzo na kuwashangaza wengi kutokana na kipaji kikubwa alichonacho.

Mtoto huyo, licha ya umri wake mdogo, anaweza kujibu maswali mbalimbali ya kitaalum ya masomo ya sekondari lakini pia anaweza kuimba na kucheza muziki.

Akifanya mahojiano @globaltvonline baba wa mtoto huyo, alisema kuwa mtoto wake huyo bado hajaanza kumpeleka shule kutokana na hali duni ya maisha yake hivyo alikuwa akiwaomba wasamaria wema ambao wanaweza kumpa sapoti mtoto wake huyo kwani ana kipaji kikubwa sana.

Leave a Comment