Vodacom Yaadhimisha Wiki Ya ‘Huduma Kwa Wateja’ Kwa Kukabidhi Zawadi Kwa Wateja Na Watoa Huduma
Global Publishers October 7, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) akifurahia kinywaji na mmoja wa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire akishea matunda na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi wetu wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria wa Vodacom Tanzania PLC, Agapinus Tax akishea matunda na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’ huku akishuhudiwa na Mkuu wa Ununuzi, Utawala na Usimamizi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC, Bi. Grace Chambua (kulia). Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma kwa Wateja, Bi. Harriet Lwakatare (katikati) wakizungumza na mmoja wa watoa huduma wa kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire akiwagawia keki wateja na watoa huduma waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkuu wa Ununuzi, Utawala na Usimamizi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC, Bi. Grace Chambua (kulia) akikabidhi za zawadi kwa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.
Mkurugenzi wetu wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria wa Vodacom Tanzania PLC, Agapinus Tax (kushoto) akikabidhi zawadi kwa wateja waliokuwepo katika duka la kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam ambayo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni ‘Timu Moja, Huduma kwa Wote’. Wiki ya Huduma kwa Wateja huadhimishwa wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba ya kila mwaka duniani kote kuthamini mchango wa wateja na wafanyakazi katika utoaji wa huduma.