×

#Exclusive: Jacky Cliff Amkana Jux – Afunguka Kutopata Mtoto – Video


Mwanadada Jack Cliff ambaye aliwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Jux kabla ya kukamatwa na kufungwa Macau, Hong Kong, amefunguka kuwa kwa sasa hayupo kwenye uhusiano na msanii huyo na wala hataki kumzungumzia.

Leave a Comment