×

Balozi wa Uingereza Atembelea ofisi za Simba Oysterbay, Dar

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akiwasili katika ofisi za Simba zilizopo Oysterbay, Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia uhusiano wa Uingereza na Simba katika maendeleo ya soka.

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar leo Oktoba 31, 2023 ofisi za Simba zilizopo Oysterbay, Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia uhusiano wa Uingereza na Simba katika maendeleo ya soka.

Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akiwasilisha historia fupi ya Simba pamoja na malengo ya sasa na baadae kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar ambaye ametembelea ofisi zetu kwa ajili ya kuzungumzia uhusiano wa Uingereza na Simba katika maendeleo ya soka.
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula akimuonyesha Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar baadhi ya makombe ambayo tumewahi kushinda.
Mjumbe wa Bodi, Asha Baraka akimkabidhi tuzo ya heshima Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar.

Leave a Comment