Siku chache baada ya Mamlaka ya hali ya hewa hapa nchini TMA kutoa tahadhari za ujio wa mvua za Vuli mvua hizo zimeanza kunyesha jijini Mwanza katika maeneo tofauti tangu usiku wa kuamkia leo novemba 3 ambapo mpaka sasa hakuna madhara yaliyojitokeza. hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha hali ilivyo hivi sasa ambapo Mvua hiyo inaendelea kunyesha maeneo tofauti hapa nchini.

