×

NEC Yamteua Aziza Sleyum Ally Kuwa Mbunge wa Viti Maalum

Aziza Sleyum Ally

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Aziza Sleyum Ally kuwa Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Uteuzi huu ni kufuatia kujiuzulu aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Bahati Keneth Ndingo
Aziza amewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) kuanzia Mwaka 2005 hadi 2010

Leave a Comment