
Balozi James G. Bwana anakwenda Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, akichukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi aliyestaafu
Aidha, Balozi Said H. Massoro anakwenda Ubalozi wa Tanzania nchini Kuwait, akichukua nafasi ya Balozi Said. S. Mussa aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje.
