×

Rais Samia Afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi -Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Bw. Sultan Abdulrahman Al-Marshad Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Novemba 10, 2023 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi, Sultan Abdulrahman Al-Marshad Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia.

Rais Samiaakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya EXIM ya Saudi Mhandisi Saad Alkhalb mara baada ya mazungumzo Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais Samia akiwa kwenye picha na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya EXIM ya Saudi Mhandisi Saad Alkhalb wa nne kutoka kushoto pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Jijini Riyadh nchini Saudi Arabia tarehe 10 Novemba, 2023.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUTUBIA BUNGE -GOLI 5 za YANGA kwa SIMBA ZAIBUA HISIA TOFAUTI BUNGENI

Leave a Comment