×

Picha: Taifa Stars Yaondoka kwenda Morocco Kukiwasha na Niger mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia

Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo Novemba 16, 2023 kwenda Morocco kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger utakaochezwa kwenye mji wa Marrakech Jumamosi Novemba 18, 2023.

RUFAA KESI MAMA wa NYAMA ya SWALA YAIVA /HUKUMU RUFAA ya SABAYA /MDEE ISHU ya MBOWE na LISSU

Leave a Comment