×

Simba na Yanga Wazindua jezi mpya Watakazotumia Ligi ya Mabingwa Afrika

Klabu ya Simba na Yanga Wamezindua jezi mpya watakazotumia kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24.

Simba ipo Kundi B pamoja na timu ya Jwaneng Galaxy, Asec Mimosas na Wydad Athletic ambapo itaanzia nyumbani dhidi ya Asec Novemba katika Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni.

Uzi wa Yanga utakaotumika katika mechi za nyumbani Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24.
Uzi wa Simba utakaotumika katika mechi za nyumbani Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24.

Leave a Comment