×

Rais Samia Alivyosalimiana na Wafanyakazi, Wananchi ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wafanyakazi wa Meli ya MV Kilimanjaro 8 kabla ya kuingia ndani ya Meli hiyo alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam tarehe 28 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Samia Suluhu Hassan, amewasalimiana na Wananchi mbalimbali ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8 alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam tarehe 28 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi mbalimbali ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8 alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam tarehe 28 Novemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa ndani ya Meli ya MV Kilimanjaro 8 alipokuwa akisafiri kutokea Visiwani Zanzibar akielekea Jijini Dar es salaam tarehe 28 Novemba, 2023.

Leave a Comment