
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Manchester City wamekua na mwenendo usioridhisha katika ligi hiyo, Kwani mpaka sasa hawajafanikiwa kushinda mchezo wowote katika michezo minne ya mwisho ya ligi kuu ya Uingereza.
Manchester City wanaandika rekodi ambayo haijatokea kwa muda mrefu ndani ya klabu yao ya kucheza michezo minne bila kupata matokeo ya ushindi haswa chini ya Utawala wa kocha Pep Guardiola ambaye amefanya makubwa ndani ya klabu hiyo.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Michezo minne ya mwisho ya klabu hiyo kutoka jiji la Manchester walicheza na klabu ya Chelsea na kupata sare ya mabao manne kwa manne, Mchezo uliofuata ulikua dhidi ya Liverpool ambapo uliisha kwa sare ya bao moja kwa moja, Wikiendi iliyomalizika walilazimishwa sare ya mabao matatu kwa matatu dhidi ya Tottenham, Huku jana wakikubali kichapo cha bao moja kwa bila mbele ya Aston Villa.
Sababu zinazoelezwa kusababisha matokeo mabaya ndani ya klabu hiyo zipo nyingi lakini ambayo imeonekana wazi ni majeraha ya hapa na pale yanayoiandama klabu hiyo, Kwani mchezaji kama Kevin de Bruyne kukosekana kwake kumeonekana kuiathiri klabu hiyo kwa kiwango kikubwa.

Manchester City wanapitia kipindi kigumu kwenye michuano ya ligi kuu ya Uingereza lakini haitazuia kuacha kujipigia mikwanja, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kumwaga ODDS KUBWA katika michezo mbalimbali barani ulaya.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.