Washindi 8 Raundi Ya 7 Wa Droo Ya Kampeni Ya Maokoto Ndani Ya Kizibo Watangazwa Na SBL
Global Publishers December 7, 2023 0 Comments
SHARE THIS:
Wawakilishi kutoka SBL wakitangaza washindi 8 Raundi ya 7 katika droo ya Kampeni ya Maokoto Ndani ya Kizibo chini ya Kampuni ya bia ya SBL. Washindi hao ni Martha Manywa kutoka Kilosa, Lailat Shomari kutoka Mbagala, Theodosia Njau kutoka Mbezi Mwisho, Evodius Wilbard kutoka Moshi, Obama Ndunguru kutoka Ruvuma, Dickson Lazaro kutoka Simiyu, Edward Joseph kutoka Kahama na John Msechu kutoka Dsm.