×

Lailat Shomari Akabidhiwa Laki Tano Baada Ya Kibuka Mshindi Wa Maokoto Ndani Ya Kizibo Droo Ya Saba

Lailat Shomari (Kulia) Mshindi wa Maokoto Ndani ya Kizibo Droo Ya Saba akipokea mfano wa hundi ya Tsh 500,000/= kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya SBL, Hoza Rajabu (kushoto). Hafla hiyo imefanyika Kwenye Bar ya Google Search iliyopo Mbagala jijini Dar Desemba 8 mwaka huu.
Lailat akiwa katika pozi la furaha na mfano wa hundi ya pesa alizokabidhiwa.

 

Lailat akiwa katikati akiwa na wafanyakazi wa SBL wakati kaikabidhiwa hundi hiyo.

Leave a Comment