×

Prof Tibaijuka Aiangukia Serikali Ya Rais Samia – “Tunaomba Mtusaidie Kuiondoa Sheli Mtaani Kwetu”- Video


Mwanasiasa mkongwe nchini, Profesa Anna Tibaijuka, amewasha moto mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akipinga hatua ya mwekezaji kujenga kituo cha mafuta kwenye makazi ya watu, eneo la Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Leave a Comment