×

Tusua Mapene na Meridianbet leo mechi za ligi ya Europa zinaendelea

Hodi hodi jamani wateja wa Meridianbet leo hii mechi za ligi ya Europa zinaendelea huku ikiwa ni mechi za mwisho timu zikipambana haswa kupata ushindi, hivyo na wewe pambana upata maokoto ya maana uanze wikendi kijanja zaidi.

Union Saint-Gilloise watawaalika Liverpool ya Klopp huku timu hiyo kutoka Uingereza ikipewa ODDS 2.84 kwa 2.27.  Tofauti ya ponti kati yao ikiwa ni 9. Liver baada ya kukosa kucheza ligi ya mabingwa sasa nahitaji kombe hili. Je leo ataondokaje ugenini?

Huku katika dimba la BayArena Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu Xabi Alonso atamkaribisha Molde huku mechi ya kwanza walipoonana Leverkusen alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.32 kwa mwenyeji na 7.64 kwa mgeni. Pesa yako unaiweka wapi hapo?

Usiishie kubashiri Europa tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayotolewa hapa kama vile Aviator, mchezo pendwa kwasasa na ni rahisi sana, Poker, Keno Roullette na mingine kibao ya Sloti. Ingia mchezoni na ucheze sasa upate Bonasi za Kasino.

Utamu mwingine wa soka ni kati ya Stade Rennes dhidi ya Villarreal ambao wote wapambania nafasi ya kwanza. Mfaransa ana ODDS 2.07 na Mhispania amepewa 3.33. Walipokutana, Nyambizi wa Njano alishinda. Leo mwenyeji atalipa kisasi? Bashiri na Mabingwa hapa.

Roberto De Zerbi na  Brighton & Hove Albion yake watakuwa nyumbani kukimbiza dhidi ya Olympique Marseille tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 1 pekee na wote wanawania kukaa juu. 1.63 na 4.80 ndio ODDS za mechi hii. Ingia na usuke mkeka hapa.

Nao Ajax Amsterdam watawaalika AEK Athens huku timu hizo zikiwa hazina mpango wa kuendelea na michuano ya Europa na sasa wanatafuta nafasi ya kuwania Konferensi league. Mechi hii ina machaguo mengi Meridianbet. Tengeneza jamvi lako la ushindi hapa.

Kundi C mechi ya moto sana ni kati ya Real Betis dhidi ya Rangers katika dimba la Benito Villamarin wakitofautiana pointi 1 pekee. Mara ya mwisho walipoonana Mgeni alishinda. Mechi hii imepewa ODDS 1.78 kwa 4.21. Nani ni nani leo?

Ukiwa wasaka maokoto weka na mechi hii ya AS Roma dhidi y FC Sheriff ambao watakuwa Stadio Olimpico, Rome ambapo Waitalia hao wanatafuta pointi hii leo wamalize kundi kama vinara. Huku mpinzani wake akiwa na alama moja pekee. Je Roma wanaweza maliza kundi kileleni? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili na ubeti.

Kimbunga kingine kipo hapa kati ya Slavia Prague dhidi ya Servette Geneva ambao hawajashinda mechi yoyote hadi sasa. Mechi hii imepewa ODDS 1.34 kwa 8.42, Je mwenyeji atamaliza akiwa kinara au vijana wa Mourinho watawashinda. Bashiri mechi hii.

Nao vijana wa David Moyes, Westham United watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani huku timu hizo zikiwa zimefungana pointi yani wote wana 12. 1.81 ndio ODDS ya Wagonga Nyundo wa London huku 3.92 ya mgeni. Nani kupaa kileleni. Suka mkeka wako chapu.

 

Leave a Comment