×

Ni Zamu Ya Madereva Bajaji Kupokea Msaada Kutoka Meridianbet

Meridianbet inaendelea kufanya ambayo imekua ikiyafanya kwa muda mrefu nayo sio kitu kingine ni kurudisha katika jamii yake ambayo imekua ikiwazunguka, Ambapo leo wamefanikiwa kutoa msaada wa maturubai kwa madereva Bajaji maeneo mbalimbali jijini Dar-es-salaam.

Madereva wa Bajaji leo wamenufaika na misaada ambayo mabingwa wa michezo ya kubashiri wamekua wakiitoa mara kwa mara kwa jamii yake, Kwani leo madereva hao wamepewa maturubai ambayo yatawasaidia kwenye shughuli zao za kila siku.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Lengo kubwa la Meridianbet kutoa msaada wa maturubai kwa madereva Bajaji ni kuhakikisha wanafanya kazi yao vizuri, Kwani maturubai hayo yatawasaidia kuwakinga na mvua pamoja na jua katika shughuli zao za kila siku.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram ambaye ndio aliongoza zoezi hilo alisema Tunayo furaha kubwa kufika hapa na kutoa msaada wa maturubai kwenu kwani tunaaamini vifaa hivi vitakwenda kuwasaidia katika kutimiza majukumu yenu ya kila siku

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Mbali na mkuu wa kitengo na mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet kuzungumza na madereva Bajaji juu ya msaada walioutoa, Lakini moja ya madereva aliweza kueleza furaha yake juu ya msaada walioupata kwa kusema “Tunashukuru sana uongozi wa Meridianbet kwa kufika hapa na kutupatia vifaa hivi kwani maturubai haya yatatusaidia kutukinga na mvua na jua katika shughuli zetu za kila siku”

Leave a Comment