Mchezo kati ya Liverpool na Manchester United unaotarajiwa kupigwa leo katika dimba la Anfield unaweza kua sehemu ya kupiga maokoto ya kutosha kwa mteja wa Meridianbet kwani mchezo huo umepewa ODDS KUBWA.
Mchezo huu wa kibabe kabisa unaokwenda kupigwa katika dimba la Anfield utazikutanisha timu hasimu zaidi katika soka la Uingereza na zenye historia kubwa ya mpira wa nchi hiyo hivo ni mchezo unaotarajiwa kua wenye upinzani haswa.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Manchester United na Liverpool zinakwenda kukutana huku wakiwa kwenye viwango vya tofauti, Kwani Liverpool wao wako kwenye kiwango kizuri wakiwa vinara wa ligi kuu ya Uingereza huku Man United wao wakiwa wanachechemea kwenye ligi hiyo wakiwa nafasi ya saba kwenye msimamo.
Ambacho watakua wanakihitaji Liverpool kwenye mchezo wa leo ni kuhakikisha wanabaki kwenye kilele cha msimamo wa ligi hiyo na sio kwa namna nyingine ni kushinda mchezo huo, Huku Man United wao wakiwa wanahitaji kushinda mchezo huu ili kurejesha hali ya kujiamni kwa timu hiyo.
Ikumbukwe kua Manchester United haijafanikiwa kushinda mchezo wowote wa ligi kuu ya Uingereza toka mwaka 2015 katika dimba la Anfield, Hivo hii inaendelea kutoa faida kwa wenyeji kuendelea kutawala au rekodi kuweza kuvunjwa vilevile.
Michezo mingine kadhaa leo Jumapili inatarajiwa kupigwa ambapo Arsenal watashuka dimbani wakiwa nyumbani pale Emirates kumenyana na Brighton, nchini Hispania Real Madrid watakipiga na Villarreal katika dimba la Santiago Bernabeu, Pale Italia Lazio watacheza na vinara wa ligi kuu ya Italia klabu ya Inter Milan, Bayern Leverkusen watashuka dimbani kumenyana na Eintracht Frankfurt na michezo yote hii imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet weka mkeka wako ujipigie mkwanja wa kutosha.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.