×

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria Yavunja mkataba na Simon Msuva

Klabu ya JS Kabylie ya Algeria imevunja mkataba na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva kwa makubaliano ya pande zote.

Msuva alijiunga na klabu hiyo Agosti 2023 kwa mkataba wa miaka miwili toka Al Qadisiya ya Saudi Arabia.

ZAYLISA NA MANARA HAKUNA NDOA, HARMONIZE AFUNGUKA KUSHEA MPENZI NA ALIKIBA… | HOTPOT

Leave a Comment