Pale Anfield leo nyasi zitawaka moto kwakua itapigwa mechi ya kibabe sana katika uwanja huo ambapo klabu ya Liverpool itakua nyumbani kuikaribisha Arsenal washika mitutu wa Londonm katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza.
Ngoma hii ambayo itapigwa usiku wa leo pale Anfield itatoa ladha mara mbili ambapomaldha ya kwanza ni mchezo huo mkali kutazamwa na wapenzi wa mpira, Lakini ladha ya pili ni wataalamu wa ubashiri ambao wana nafasi ya kupiga mkwanja kupitia mchezo huu ambao umepewa ODDS KUBWA.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Liverpool watakwenda kwa tahadhari kubwa kwani wanatambua ubora wa klabu ya Arsenal hivi karibuni, Lakini Arsenal nao watakua na tahadhari kutoka na rekodi mbovu ambayo wamekua nayo katika dimba la Anfield miaka ya karibuni.
Arsenal wanapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kutokana na fomu yao katika ligi kuu ya Uingereza, Lakini rekodi zinawakataa haswa katika dimba la Anfield japo inaweza kua nafasi kwa klabu hiyo kuvunja mwiko leo.
Liverpool itakua na kikosi chake karibia chote wakati huu ambao Thiago Alcantara amerejea kwenye timu wakimkosa beki wao wa kushoto Robertson, Huku Arsenal kwa upande wao mchezaji wao wa kikosi cha kwanza atakayekosekana ni Thomas Partey tu hii inaonesha kwa namna gani mchezo utakua mkali kwakua timu zote zimekamilika.
Tofauti na kipute hicho kitakachopigwa katika dimba la Anfield kutakua na michezo mingine mikali wikiendi hii ambayo itawawezesha wateja wa Meridianbet kupigwa mkwanja Westham United watakipiga dhidi ya Man United, Tottenham watakua nyumbani kuikaribisha Everton, Luton watakipiga na Newcastle United, Kule Italia Inter Milan watakipiga na Lecce, Juventus wakiwa ugenini kucheza dhidi ya Frosinone, Hispania Atletico Madrid wataikaribisha klabu ya Sevilla michezo yote itapatikana katika tovuti ya Meridianbet ikiwa imepewa ODDS KUBWA na bomba kabisa.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.